Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akisikiliza maelezo kuhusu utengenezaji wa Vikapu kutoka kwa mwakilishi
wa Kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, wakati alipokuwa akitembelea
mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi,
yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International
School' Masaki leo Nov 17, 2012.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi,
yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International
School' Masaki leo Nov 17, 2012.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya kitabu kilichokuwa katika banda la maonyesho, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo Nov 17, 2012.
No comments:
Post a Comment