Saturday, November 17, 2012

WATOTO WATATU WAFUNIKWA NA KIFUSI IRINGA

Habari kutoka mkoani Iringa zinadai kuwa watoto watatu wakazi wa Tosamaganga wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa wamekufa papo hapo baada ya kufunikwa na kifuti wakati wakichimba mchanga ,miili ya watoto hao imehifadhiwa kwa muda hospitali ya Ipanda kabla ya kupelekwa hospitali ya mkoa wa Iringa kwa uchunguzi zaidi.hizi ni tetesi kutoka Iringa

No comments: