Kikosi
cha Wenger ambacho kina ukame wa miaka saba ya kukosa taji
lolote waliokuwa wamepangwa na timu hiyo ya daraja la pili katika
michuano hiyo huku wao wakipewa nafasi kubwa ya kutinga hatua ya nusu
fainali. Leo usiku kikosi hicho alichopanga mzee Wenger kimeshindwa kusonga hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Bradford City kwa mikwaju ya penati.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger akikatiza kuelekea sehemu ya Arsenal uwanjani hapo Bradford
Nathan Doyle (kushoto) akimjambua mchezaji wa Arsenal Santi Cazorla
Dakika ya ya 88 Cazorla anapiga cross na mchezaji Thomas Vermaelen anatupia kwa kichwa na kufanya 1-1 zinaongezwa dakika 4 za nyongeza.
Dakika 15 za kipindi cha kwanza katika dakika 30 zinakatika bila kufumgana na wanaendelea kumalizia dakika 15, Cazorla anajaribu kutupia lakini mpira unagonga mwamba, na mashuti mengine yanakuwa hayana macho yanatoka nje.
Muda unaisha wa dakika 30 inaongezwa dakika 1 nayo inaisha, mikwaju inafata..
Bradford wanaanza kupiga penati ...1,2,x,4,x = 3
Arsenal wanafatia kupiga penati .... .x,2,3,4,x = 2
VIKOSI
Bradford: Duke, Darby, Meredith, McHugh, McArdle, Thompson (Jones 72), Atkinson (Turgott 92), Jones, Doyle, Hanson, Wells (Connell 74)
Subs not used: McLaughlin, Good, Ravenhill, Hines
Goal: Thompson 16
Booked: Wells, Doyle
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Wilshere, Ramsey (Rosicky 69), Cazorla, Coquelin (Chamakh 60), Podolski (Oxlade-Chamberlain 69), Gervinho
Subs not used: Mannone, Squillaci, Jenkinson, Arteta
Goal: Vermaelen 88
Booked: Gervinho, Vermaelen
Referee: Mike Dean
Attendance: 23,971
No comments:
Post a Comment