MAANDAMANO YA WAISLAMU YADHIBITIWA JIJINI DAR
---
ILE nia ya baadhi ya waumini wa dini ya
Kiislamu kutaka kuandamana kwenda Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka
(DPP) imeshindikana baada ya vyomba vya ulinzi na usalama kuimarisha
ulinzi maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam.
Hali hiyo iliyoshuhudiwa na wandishi wetu kwani polisi wa pikipiki, magari na kikosi cha mbwa walitanda mitaani kuhakikisha usalama.
Maeneo ambayo yaliimarishwa ni ofisi ya DPP, polisi makao makuu na sehemu nyingine muhimu.

No comments:
Post a Comment