Friday, March 22, 2013

JERRY SILAA AZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA CHA TTCL – KARIAKOO


IMG_0154
Mtoa huduma kwa wateja Bi. Florence Ngowi akionyesha na kumueleze Mh. Jerry Silaa Meya wa Manispaa ya Ilala baadhi ya bidhaa zinazopatikana katika kituo hicho wakati alipotembelea maonyesho ya vifaa mbalimbali  alipozindua kituo hicho ambacho kimeanzishwa maalum kwa ajili ya kushughulia  masuala ya huduma kwa wateja wa Kampuni hiyo
IMG_0111
Mheshimiwa Jerry Silaa akisoma risala wakati wa uzinduzi wa  kituo hicho IMG_0116
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu ya TTCL wakiwa katika uzinduzi huo IMG_0152
Afisa Mkuu wa Mauzo na Masoko Bw. Peter Ngota akizungumza na
wageni mbalimbali, katikati ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry
Silaa Kulia ni Mkurugenzi wa huduma kwa Wateja Bw. Edward Emmanuel.

No comments: