Thursday, October 3, 2013

ZAO LA BIASHARA AMBALO HUMUANGUHA MKULIMA KIUCHUMI


Wanawake wakazi wa Merela na Doma Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wakiwa katika kilinge chao cha Kuuzia nyanya kama walivyokutwa na mpiga picha wetu hivi Karibuni. Nyanya ndio zao kuu la biashara kwa wakazi wa eneo hilo na vijiji vya jirani vya Kipera, Mlali na Changarawe lakini halina soko la uhakika jambo ambalo limekuwa ni hasara kwa wakulima wengi.

No comments: