Thursday, April 12, 2012

WAZIRI KUU AKUTANA NA BALOZI WA AFRIKA KUSINI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati ) na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thanduyise Chiliza, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Aprili 11, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Mtwara, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Aprili 11, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki na wapambe wao kwenye viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 11, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: