Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) akiongea katika mkutano kati ya Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe na Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo mwishoni mwa wiki.
*********
Na Mwandishi Wetu
Watumishi za Wizara ya Katiba na Sheriawametakiwa kutekeleza jukumu lao la msingi la kutoa huduma kwa wananchi bilavisingizio
Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawealitoa maelekezo hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati akiongea naWatendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara yake.
“Kazi yetu ya msingi kama Wizara ni kutoahuduma. Tunapaswa kutekeleza hili kwa ufanisi mkubwa ili tuwe mfano kwawengine,” alisema Chikawe katika mkutano huo wa kwanza na Watendaji hao tanguateuliwe hivi karibuni kuongoza Wizara hiyo.
Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia naNaibu Waziri wake Angela Kairuki, Chikawe pia aliwataka viongozi haokuhakikisha kuwa wanawasimamia watumishi walio chini katika kutekeleza majukumuwaliyojipangia yanatakelezwa.
“Tunapaswa kuwawekea malengo watumishi wetuna kupima utekelezaji wake mara kwa mara,” alisema Chikawe na kuongeza kuwawatumishi wanapaswa kutumia muda wa kazi kuwahudumia wananchi na si vinginevyo.
“Siku hizi kuna baadhi ya watumishiwanaingia ofisini asubuhi, wanazungukazunguka tu na jioni wanaondoka wanarudinyumbani…hawafanyi kazi, tunapaswa kuwasimamia,” alisema Waziri huyo.
wa upande wake, Naibu Waziri Kairuki pamojana kuwataka viongozi hao kushirikiana na watumishi kwa katribu katikakutekeleza majukumu yao, aliwataka Watendaji Wakuu hao kuzingatia sheria nakanuni katika matumizi ya fedha za umma ili kuepuka kupata hati chafu kutokakwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
“Nina imani nanyi sana. Tujitahidi sanakuzingatia sheria na kanuni za matumizi ya fedha umma ili tuendelee kupata hatisafi,” alisema Kairuki.
Awali akitoa maelezo ya utekelezaji wamajukumu ya Wizara hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Fanuel Mbonde alitajachangamoto mbalimbali zinazoikabili Wizara hiyo zikiwemo bajeti finyu na uhabawa watumishi.
Katibu Mkuu huyo alisema bajeti finyu nauhaba wa watumishi katika ngazi zote unaathiri utekelezaji wa majukumu yamsingi ya Wizara hiyo na Taasisi zake likiwemo la uendeshaji wa mashtaka.
Hata hivyo, Katibu Mkuu huyo alisema pamojana changamoo hizo, watumishi wa Wizara wamekuwa wakijitahidi kutekelezamajukumu yao kwa kutumia rasilimali zilizopo na kuongeza kuwa maombi ya vibalivya kuomba kuajiri watumishi yamepelekwa Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishiwa Umma.

No comments:
Post a Comment