FOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU
K A R I B U S A N A
Monday, March 26, 2012
NI MJI WA BUKOBA ULIVYOSHEHENI WATU NA MABANGO YA KAMPUNI MBALIMBALI
MNi maeneo ya kuelekea standi kuu ya mabasi ndani ya manispaa ya bukoba kwa upande wa kulia ni ofisi za Air tel,Kadet,fourways na ofisi za wanasheria wa kujitegeme na kusoto ni maeneo ya maegesho ya tax za kukodisha kwenda maeneo mbalimbali ni karibu na TRA-Bukoba.
Ni katika mji wa Bukoba hii ni balabala inayoeleke katika hospital kuu ya Mkoa kutoka stand kuu ya magari
No comments:
Post a Comment