Thursday, May 3, 2012

WASHIRIKI WA MISS DAR CITY CENTRE WAPATIKANA KIJITONYAMA

Nani mkali????????????????????????????????????????????????????????????
 
 Wakati wa kusubiri matokeo.
 
 Mnyange akionyesha mapozi.…
 
 Warembo wakisubiri mchujo.
 
 Mmoja wa warembo akipita jukwaani.
 
 Wakati wa kusubiri matokeo.
 
 Mnyange akionyesha mapozi.
 
Mnyange akionyesha alichojaliwa kuwa nacho.
 
Warembo watatu ambao wamechaguliwa katika kinyang’anyiro hicho wakiwa katika pozi.
Warembo watakaowania taji la  la Miss Dar City Centre wamepatikana jana katika ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, jijini, palipopitishwa mchujo uliosimamiwa na wanamitindo mahiri Rio na Martin.
                                             PICHA: IMELDA MTEMA, GPL
 

No comments: