Thursday, May 3, 2012

PAPISS CISSE AIPOTEZA CHELSEA, APIGA MBILI NEWCASTLE IKISHINDA 2-0 WAKUBALI KUCHAPIWA KWAO!

Letting it slip: John Terry sees his side slip further behind in the race for a top four finish

CHELSEA HOI BIN.........

KLABU ya Newcastle United imeisogelea Arsenal katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England hadi kubaki inazidiwa pointi moja tu, kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea usiku huu.

 Put it there: Alan Pardew and Cisse celebrate at the end 

Papiss Cisse alifunga bao la kwanza Uwanja wa Stamford Bridge kwa shuti kali la mguu wa kulia lililojaa nyavuni kipindi cha kwanza.
Bao la pili na la 13 katika mechi 12 tangu ajiunge na timu hiyo Januari, lilikuwa moja ya mabao bora kuwahi kutokea msimu huu - baada ya kuambaa wingi ya kushoto na kuupiga mpira kwa upande wa nje wa kiatu cha na kumtungua kipa Petr Cech. 
Stunner: Cisse celebrates his second with the Newcastle fans
Kwa Alan Pardew, haikuwa tu kufuta machungu ya kufungwa 4-0 na Wigan Athletic, lakini pia ushindi wake wa kwanza katika Jiji la London tangu awasili Tyneside Desemba mwaka 2010.

 Tough task: Chelsea manager Roberto Di Matteo knows his side will realistically have to win the Champions League to qualify for the tournament next season 

Roberto Di Matteo apagawa ... asema alijua kuwa alikuwa na kibarua kigumu...

 Wonder goal: Papiss Cisse celebrates his brilliant brace 

PAPISS CISSE  ALIYEIMALIZA CHELSEA AKISHANGILIASeeing is believing: Alan Pardew was stunned by Cisse's second 

 

On target: Cisse fires Newcastle into the lead midway through the first half

Drogba Hoi ashika kiuno !!

No comments: