Sunday, August 26, 2012

JK Naye Ashiriki Sensa,.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete na familia yake  akijibu maswali toka kwa karani wa sensa ya wazu na makazi Bw. Clement Ngalaba leo Agosti 26, 2012
wakati alipojiunga na mamilioni ya Watanzania katika zoezi hilo lililofanyika kwa mafanikio makubwa nchi nzima.

PICHA NA IKULU

No comments: