Sunday, September 2, 2012

Mauaji Morogoro; BAVICHA Watoa Tamko.


TAARIFA KWA UMMA

UTANGULIZI:

Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) linapinga tamko lililotolewa
na UVCCM kupitia Katibu Mkuu wake Martin Shigela kwenye vyombo
vya habari tarehe 28 na 29 Agosti 2012 za kuhusisha mauaji yaliyotokea
Morogoro tarehe 27 Agosti 2012 ya kijana Ally Hassan Singano (Zona).

BAVICHA inakemea pia kauli zilizotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Mahusiano na Uratibu) tarehe 31 Agosti 2012 za kuhusisha CHADEMA
na siasa za umwagaji damu na inawataka vijana kujiandaa kwa hatua zaidi
iwapo Serikali itaifuta CHADEMA.

Aidha, BAVICHA.... Soma zaidi... http://www.kwanzajamii.com

No comments: