Monday, November 5, 2012

BINTI AGONGWA VIBAYA JIJINI MWANZA LEO



Ni majira ya asubuhi katitka jiji la mwanza binti ambaye jina lake chanzo chetu cha habari hakikuweza kupata jina lake kwa haraka sana amegongwa na gari aina ya haice amabalo limekimbia na kupotelea pasipojulikana
FOURWAYSBUKOBA tutaendelea kufuatilia kwa kina zaidi juu ya ajari hiyo na kukujuza

No comments: