MARA
kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama
barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda
wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi
wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama
barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya
kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace
aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.FOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU K A R I B U S A N A
Sunday, November 4, 2012
KUMBE INAWEZEKANA?????TRAFIKI WAMPA KICHAPO MWANAJESHI MJINI MOSHI.
MARA
kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama
barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda
wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi
wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama
barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya
kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace
aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment