Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais wa Madagacar
Andry
Rajoelina, wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo
Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku
mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard MembeFOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU K A R I B U S A N A
Saturday, December 15, 2012
Dkt.Bilal Amuaga Rais Wa Madagascar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment