Miss Redd's Brigitte Alfred, (kulia) na Bw. Albert Makoye, Mkuu wa Itifaki kamati ya Miss Tanzania (kushoto) na katikati ni Bw. Faustine Ruta
Miss Redd's Brigitte Alfred akiteta na wanyeji waliokuja kuwapokea uwanja wa ndege
Miss Redd's Brigitte Alfred akitembea kuelekea kwenye gari (kushoto) ni Miss Kagera Baby Kalalaa
Miss Redd's Brigitte Alfred akifurahia baada ya kuwaona mamiss wenzake.
MISS REDD'S PIA LEO ATAJUMUIKA NA WANANCHI WA JIJINI LA MWANZA KATIKA CHAKULA CHA JIONI KATIKA UFUKWE WA CHACOAL RIBS RESORT ILIYOPO LUCHELELE. JUMATATU ATATEMBELEA KITUO CHA BUHONGWA FAITH CHILDREN CENTRE.
Mwandishi wa habari akichukuwa maelezo kutoka kwa Miss Redd's Brigitte Alfred
Miss Redd's Brigitte Alfred akifurahia hapa wakati wanaelekea kwenye ukumbi wa Villa Park
Baby Kalala Miss Redd's Kagera (katikati) akifurahia
Miss Redd's Brigitte Alfred akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Villa Park
No comments:
Post a Comment