FOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU
K A R I B U S A N A
Thursday, December 20, 2012
KAMATA MASANDA TIMBWILI LA UJAMBAZI KARIAKOO JUZI
Mtu anaedaiwa Kuhusika katika tukio la Ujambazi lililotokea Maeneo ya
Kariakoo Jijini Dar es Salaam jana akiwa chini ya Ulinzi baada ya
kukamatwa. Watu wawili waliuwawa jana na majambazi wakati wakipora
fedha.
No comments:
Post a Comment