Friday, August 31, 2012

MWENGE WA UHURU UMEWASILI UMEWASILI MOANI KAGERA LEO

Baadhi ya wakuu wa wilaya wa mkoa wa Kagera wakiusubili mwenge.

Massawe akiongea na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kagera wakati akisubili kuupokea mwenge.
 
Massawe akimpokea mkimbiza mwenge kitaifa.

Baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kagera wakiushangilia mwenge.


Baadhi ya wakimbiza mwenge toka mkoa wa Geita waikumbiza mwenge kwa lengo la kuukabidhi uongozi wa mkoa wa Kagera eneo la Kasozibakari.

Massawe, akimkabidhi mwenge mkuu wa wilaya ya Biharamulo.
 
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe (kulia) akipongezana na mkuu wa mkoa mpya wa Geita Saidi Magalula baada ya kukamilisha harakati za kukabidhiana mwenye ambazo zilifanyika kwenye eneo la Kasozibari liliko linalotenga mikoa ya Geita na kagera liliko wilayani Biharamulo, kwenye huo umeanza mbio zake mkoani Kagera ambapo utaweka mawe ya msingi, kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo 66 yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 13, mkoani Geita ulitembelea miradi 66 yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 8.
 

No comments: