Thursday, October 11, 2012

PICHA MBALI MBALI ZA PROFESA LIPUMBA AWLIWASI KAGERA


Msafara ulienda kumpokea mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba.
Profesa Lipumba akiwa kwenye gari la wazi akiwapungia wananchi mara baada ya kuwasili mkoani Kagera ambapo atafanya mkutano wa hadhara katika kata ya Bakoba.

No comments: