ARSENAL
leo wakiwa uwanjani kwao Emirates wameweza kuibuka na ushindi mnono wa
bao 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion, Penati mbili za Mikel Arteta
zimewapa ushindi Arsenal huo ambao penati ya kwanza ilionekana ni ya
"utata"
ARSENAL 2 V WEST BROM 0
Arsenal walipewa Penati ya kwanza baada
ya Refa Mike Jones kuamua kwa utata kuwa Steven Reid alimchezea faulo
Santi Cazorla lakini Penati ya pili ilikuwa safi baada Alex
Oxlade-Chamberlain kuchezewa rafu na Chris Brunt.
Hata hivyo, nao WBA walinyimwa Penati kufuatia Per Mertesacker kuunawa mpira.
Jack Wilshere akigomania mpira
Goran Popov akislide kuondoa mpira kwa Alex Oxlade-Chamberlain
Arteta akishangilia baada ya kufunga penati ya pili.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Arteta, Wilshere, Oxlade-Chamberlain (Coquelin 77), Cazorla (Podolski 87), Giroud, Gervinho (Rosicky 81)
Subs not used: Martinez, Squillaci, Jenkinson, Ramsey
Booked: Mertesacker, Giroud
Goals: Arteta 26 (pen), 64 (pen)
West Brom: Myhill, Reid, Olsson, Ridgewell (Popov 6), McAuley, Morrison, Brunt, Mulumbu, Gera (Rosenberg 75), Long, Odemwingie (Lukaku 62),
Subs not used: Daniels, Tamas, Dorrans, Fortune
Booked: Olsson, Brunt, Reid
Referee: Mike Jones
Attendance: 60,083
RATIBA/MATOKEO
Jumamosi 8 Desemba 2012
[SAA 12 Jioni]
Arsenal 2 v West Brom 0
Aston Villa 0 v Stoke 0
Southampton 1 v Reading 0
Sunderland 1 v Chelsea 3
Swansea 3 v Norwich 4
Wigan 2 v QPR 2
Jumapili 9 Desemba 2012
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Man City v Man United
[SAA 12 Jioni]
Everton v Tottenham
[SAA 1 Usiku]
West Ham v Liverpool
Jumatatu 10 Desemba 2012
[SAA 5 Usiku]
Fulham v Newcastle
Jumanne 11 Desemba 2012
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Sunderland v Reading
No comments:
Post a Comment