Monday, January 21, 2013

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA BADO


Na Eliud
Ni jambo la kushangaza sana kuona mpaka sasa watanzania wanaishi maisha ya kuangaika sana wakati walihaidiwa kufanyiwa kila liwezekanalo ili wawe na maisha safi.
Jana wakati nikiendelea na pilika za maisha katika jiji la mwanza liwakuta akina mama katika dampo la Buguzuruga jia ielekayo maeneo ya mecco wakiwa wanaokoteleza viazi kwaajiri ya kutengeneza mlo wao wa kila siku mara baada ya kuongea nao mama mmoja alidai kuwa mpaka sasa amekuwa wa kutegemea dampo hilo ili kulisha familia yake na kutunza familia yake ya watoto watatu na yeye akiwa ni wa nne.
Sio sili kama harufu ingekuwa inaweza kupigwa picha basi hamna hata msomaji mmoja ambaye angeweza kusoma tukio hili ila kwa kuwa harufu ni hewa basi nilishindwa kupiga picha hiyo.
Kipincdi cha dakika tano nilona kama mwaka ndani ya mateso makubwa kutokana na hali iliyokuwa pale.
Watanzania tuna kila sababu ya kuweza kusaidiana kama serikali yenyewe imeshindwa hata kutoa ajila ndogndogo kwa wananchi wake.
0768078360

No comments: