Monday, January 21, 2013

MAISHA YA UTOTO HADI RAHA



Wakati nikizunguka hapa na pale nimebahatika kuwatuda watoto hawawanaonekana wanapenda sana wakiwa wacheza kwa pamoja bila ya kuwa na mwangalizi.
Sio sirinilimshkru mungu mara baada ya kuwaona wakiwa wanacheza michezo mbalimbali na wakiongea lugha yao waliijua wao wenyewe.

No comments: