Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa ulkiofanywa katika
kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za
Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu
mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani ya kanisa
la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za
Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa baadhi ya waumini wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam kufuatia uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa la
Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani Mkosimonga
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar
es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari
kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment